Back to home

Kliniki ya meno inayozunguka mitaa ya Nairobi yaboresha huduma kwa maskini

video
July 25, 2025
about 21 hours ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Kupata huduma za meno bado ni changamoto kwa familia nyingi za kipato cha chini humu nchini, lakini kliniki ya meno iinayozuru mitaa ya viungani mwa mji wa nairobi ikianza kubadilisha hali Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by K..