Back to homeWatch Original
Viongozi wa Kenya Kwanza wataka wakenya kushikamana
video
July 25, 2025
1d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Viongozi wanaoegemea serikali wameendelea na wito wa umoja kwa wakenya, huku wakiapa kuwa pande zote za nchi zitapata maendeleo bila ubaguzi. Akizungumza katika hafla ya michango katika kaunti za Murang’a na Kisumu hii leo, Naibu Rais Kithure Kindiki aliwarai wakenya kususia si..