Back to homeWatch Original
Kinara wa ODM Raila Odinga atetea matamshi ya katibu mkuu wa ODM Edwin Sifuna
video
July 25, 2025
about 20 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Kinara wa ODM Raila Odinga amemtetea katibu mkuu wa chama cha ODM Edwin Sifuna akisema ndiye sauti ya chama. Akizungumza katika hafla ya wanachama wa ODM katika kaunti ya Kakamega leo, Odinga alisema chama hicho kitaanza mchakato wa kupiga msasa mkataba wa makubaliano kati yake n..