Back to homeWatch Original
Kwale: Raymond Omollo asaidia ukuaji wa vipaji
video
July 27, 2025
5d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Vijana kaunti ya Kwale wametoa wito kwa viongozi na washikadau wa michezo kuwasiadia kukuza vipaji vyao kwa kuwapa vifaa vinavyofaa pamoja na ukarabati wa viwanja. Wakizungumza katika uwanja wa maonyesho wa Ukunda baada ya kupokea vifaa kutoka kwa katibu wa usalama Raymond Omolo..