Back to homeWatch Original
Safaricom yajenga hospitali ya milioni 45 Tharaka Nithi
video
July 27, 2025
10h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Kampuni ya Safaricom imeshirikiana na kaunti ya Tharaka Nithi kujenga kituo cha matibabu kitakachokuwa na uwezo wa kuwahudumia kina mama wajawazito 40 katika eneo la chuka igambang'ombe.mradi huo utakaogharimu shilingi milioni 45 unatarajiwa kukamilika chini ya mwaka mmoja ujao. ..