Back to homeWatch Original
Fisi amuua kijana wa miaka 14 katika eneo la Njoro
video
July 28, 2025
3d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Huzuni na simanzi imetanda katika Kijiji cha Sinendet, eneo la Njoro, Kaunti ya Nakuru, baada ya mvulana wa miaka 14 kuuawa na fisi. Kijana huyu alitoweka kabla ya mabaki ya mwili wake kupatikana..