Back to homeWatch Original
Jamii yaitaka serikali kuirejeshea umiliki wa mashamba
video
July 28, 2025
2d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Tume ya kitaifa ya ardhi nchini NLC imeiagiza Serikali ya Kaunti ya Samburu, kuandikia bunge la Kaunti ya Samburu Barua kuhusu kupitisha hoja ya kutaka mashamba yanayozingirwa na utata wa umiliki kurejeshewa jamii..