Back to home

Wanafunzi 210 wenye ulemavu wapewa baiskeli Oloililai

video
July 29, 2025
4d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wanafunzi 300 miongoni mwao 210 wenye ulemavu kutoka shule kumi katika kaunti ndogo ya Oloililai, kaunti ya Kajiado wamenufaika na msaada wa baiskeli za kuwarahizishia usafiri kufika shuleni..

Wanafunzi 210 wenye ulemavu wapewa baiskeli Oloililai (Video)