Back to home

Wakazi watakiwa kutokata miti wala kulisha mifugo msituni

video
July 29, 2025
1d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Kufuatia kuongezeka kwa shughuli za kibinadamu zinazosababisha uharibifu wa mnara wa maji wa Kaptagat, unaotumiwa na kaunti za elgeyo Marakwet na Uasin Gishu, serikali kuu imeanzisha mikakati madhubuti ya kuhakikisha kuwa wakazi wa maeneo haya hawalitegemei sana eneo hilo kwa mah..