Back to homeWatch Original
Wanasiasa watupiana cheche wakitumia familia
video
July 29, 2025
1mo ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Baadhi ya familia za wanasiasa zimejipata pabaya katika siku za hivi majuzi baada ya nipe nikupe, ambapo baadhi ya wake na waume wa wanasiasa hao wametajwa ili kufunga mabao ya kisiasa. Kutoka kwa kiongozi wa wengi katika bunge la kitaifa Kimani Ichung’wah na aliyekuwa Naibu Ra..