Back to home

Msimamo wa ODM

video
July 29, 2025
2d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

BODI KUU YA CHAMA CHA ODM SASA IMETOA MSIMAMO WA CHAMA HICHO NA KUSEMA KITAENDELEA KUUNGA MKONO SERIKALI YA KENYA KWANZA KUPITIA MAKUBALIANO YAO ILI KULETA UTULIVU NCHINI. KATIKA KIKAO KILICHOONGOZWA NA KINARA WA CHAMA HICHO RAILA ODINGA, ODM PIA IMETOA UAMUZI KUWA WANACHAMA WOTE..