Back to homeWatch Original
Msafara wa Mpesa waelekea Vihiga, Kakamega, Bungoma
video
July 30, 2025
1d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Msafara wa Mpesa sokoni umebisha hodi kaunti za Magharibi. Huku uhondo huo ukitarajiwa Majengo, Mbale Lubao, kambi ya mwanza na hatimaye chwele na kamkuywa kaunti ya Bungoma..