Back to home

Zaidi ya familia 100 zimeathirika na mafuriko ya mto Sabwani, serikali yaagiza kuhama mara moja

video
July 30, 2025
1d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Zaidi ya familia 100 katika eneo la Namanjalala, eneo bunge la Kwanza, Kaunti ya Trans Nzoia, zimewachwa bila makao baada ya mto Sabwani kuvunja kingo zake kufuatia mvua kubwa inayonyesha eneo hilo. Aidha mashamba yamesombwa na maji huku baadhi ya wagonjwa wakikosa hata njia za k..