Back to homeWatch Original
Ababu Namwamba azungumza kuhusu ukarabati wa uwanja wa Kasarani | Jungu la Spoti
video
July 31, 2025
1d ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Timu ya taifa ya soka ya Harambee Stars itachezea katika uwanja wa kimataifa wa Moi Kasarani kwa mara ya kwanza kwa kipindi cha takriban miaka miwili. Stars itapambana na DR Congo Agosti tarehe 3 katika mechi yake ya kwanza ya kundi A ya dimba la CHAN Subscribe to NTV Kenya chan..