Back to homeWatch Original
Unyanyapaa na dhana potovu zaathiri elimu ya walemavu Kilifi
video
August 1, 2025
1mo ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Huku hazina ya kitaifa ya walemavu nchini ikiendeleza miradi katika kaunti ya Kilifi, unyanyapaa, dhana potofu na uhaba wa walimu zimetajwa kama mojawapo ya vikwazo vikuu vinavyochangia kudorora kwa elimu ya watoto hao..