Back to homeWatch Original
Supkem: Tunawatahadharisha mahujaji dhidi ya mawakala tapeli
video
August 1, 2025
16h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Baraza Kuu la Waislamu Kenya (SUPKEM) limeanza rasmi maandalizi ya hajj mwaka wa 2026 ili kuhakikisha kuwa mahujaji wote wa kenya wanapewa usaidizi bora zaidi katika masuala ya mipango ya usafiri, malazi, mwongozo na ustawi wa jumla...