Back to homeWatch Original
Klabu ya Rotary yatoa msaada wa vitabu Lamu
video
August 1, 2025
4w ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Klabu ya Rotary tawi la Lamu, ikishirikiana na Wizara ya Elimu kaunti ya Lamu, imetoa msaada wa vitabu zaidi ya mia tano katika shule ya msingi ya Bahari Njema iliyoko wadi ya Mkunumbi...