Back to homeWatch Original
Msafara wa M-PESA sokoni magharibi na Nyanza wakamilika
video
August 1, 2025
16h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Msafara wa MPESA Sokoni unatamatisha ziara yake maeneo ya Magharibi na Nyanza hii leo kwa kuzuru maeneo kadhaa Kaunti ya Kisumu, baada ya kutembelea zaidi ya vituo 30 katika kipindi cha siku tano.Safaricom, kwa ushirikiano na Kampuni ya Royal Media Services, imeandaa sherehe hizi..