Back to home

CTL yazindua programu ya simu kufuatilia miradi ya kaunti Nakuru kwa uwazi

video
August 1, 2025
14h ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Shirika la Kituo cha Uongozi wa Mabadiliko (CTL) limezindua programu ya simu, ya kufuatilia miradi ya kaunti mjini Nakuru kwa lengo la kuhakikisha uwazi na uwajibikaji katika serikali. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyan..