Back to home

Harambee Stars itatuzwa Sh600m na Rais Ruto iwapo watashinda taji la CHAN

video
August 2, 2025
13h ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Timu ya taifa ya kandanda Harambee Stars itatuzwa shilingi milioni mia 6 na Rais William Ruto, iwapo itashinda taji la CHAN katika makala ya 8 ambayo yataanza rasmi usiku huu nchini Tanzania. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by..