Back to home

Rais Ruto aahidi Harambee Stars zawadi nono kwa ushindi katika mechi za CHAN

video
August 2, 2025
12h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Rais william ruto ameahidi kuwatunukia zawadi nono wachezaji wa timu ya taifa ya Harambee Stars watakaoshiriki kwenye kivumbi cha chan kwa mara ya kwanza. Rais Ruto ameahidi timu hiyo zawadi ya shilingi milioni mia sita iwapo itatwaa kombe la chan 2024. Kwa kila mechi ambapo hara..