Back to home

Rambirambi za Big Boy Trev

video
August 2, 2025
6d ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Ulimwengu wa vyombo vya habari na ule wa wapenzi wa magari umejawa na huzuni kufuatia kifo cha Trevor Lamenya anayefahamika zaidi kama Big Boy Trev ambaye alifariki hapo jana baada ya kuugua kwa muda mfupi. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and ev..