Back to homeWatch Original
Serikali yatakiwa kuwekeza katika nishati isiyochafua mazingira
video
August 4, 2025
1w ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Shinikizo limetolewa kwa serikali kuwekeza katika umeme unaotumia nguvu za upepo,solar,maji na jua katika kaunti Lamu na kukoma kuekeza mradi wa kuchoma makaa ya mawe ,mradi wa kuchoma mafuta na gesi inayochafua mazingira ya anga,bahari na nchi kavu..