Back to home

Katibu wa knut atofautiana na naibu kiongozi wa chama cha Safina

video
August 4, 2025
6h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Mzozo umeibuka kati ya katibu mkuu wa chama cha kitaifa cha walimu (KNUT) Collins oyuu na naibu kiongozi wa chama cha safina, willis otieno, kuhusu mkataba mpya wa nyongeza ya mishahara ya walimu kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Akizungumza katika mazishi ya mama wa mwenyekiti..