Back to homeWatch Original
Maonyesho ya kilimo ya makueni yakamilika huko Makindu
video
August 4, 2025
3d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Maonyesho ya kilimo ya mwaka huu ya kaunti ya Makueni yametamatika huku wakulima kwenye kaunti hiyo ambayo ni mojawapo ya maeneo yenye ukame wakihimizwa kutumia mbinu za kusasa za ukulima ambazo zinaweza kustahimilu ukame na kuongeza Mavuno..