Back to home

Polisi wamtafuta mwenzao Kanyonyoo Kitui kwa madai ya mauaji ya wanawake Wawili

video
August 4, 2025
1d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Maafisa wa Polisi eneo la Kanyonyoo ,yatta kaunti ya Kitui wanamtafuta mwenzao aliyetoweka baada ya kudaiwa kuwauwa wanawake wawili kwa kuwapiga risasi...