Back to home

Wanyamapori wahangaisha Loitokitok

video
August 5, 2025
1d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wakazi wa kijiji cha Korinko huko Loitkitok kaunti ya Kajiado wanaishi kwa hofua ya kushambuliwa na fisi na chui ambao wamekuwa wakiranda randa katika eneo hio na kula mifugo wao kila siku..