Back to home

Wawakilishi wa kike wapigia debe serikali ya Rais Ruto

video
August 5, 2025
16h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Zaidi ya wawakilishi wa kike 30 nchini wamerindima ngoma ya kumpigia debe Rais William Ruto pamoja na serikali ya muungano huku wakimsuta katibu mkuu wa chama cha ODM Edwin Sifuna kwa kukinzana na msimamo wa kinara wa chama cha ODM Raila Odinga..

Wawakilishi wa kike wapigia debe serikali ya Rais Ruto (Video)