Back to home

Mzozo wa hospitali ya Londiani

video
August 5, 2025
17h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wakazi wa eneo bunge la Kipkelion Mashariki walifanya mkutano wa kupinga vikali jaribio lolote la kuhamisha ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Londiani yenye thamani ya Shilingi bilioni 8 kutoka eneo lililokusudiwa awali karibu na mji wa Londiani..