Back to homeWatch Original
Shirika la KHRC lataka hazina ya Hustler Fund kufutiliwa mbali
video
August 5, 2025
17h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Tume ya kutetea haki za binadamu ya KHRC sasa inapendekeza kufutiliwa mbali kwa hazina ya Hustler Fund. Katika ripoti yake, KHRC imesema hazina hii imekosa kuwawezesha wakenya walio chini kiuchumi kama ilivyokusudiwa na hata mikopo mingi kukose kulipwa..