Back to home

Baadhi ya wakazi wa kaunti ya Isiolo waandamana

video
August 5, 2025
20h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wakazi wa Isiolo wameandamana kupinga bajeti ya Shilingi bilioni 7 waliyoitaja kuwa ya siri na isiyo na ushirikishwaji wa umma. Wanamtuhumu Spika Abdulahi Banticha na Karani wa Bunge Salad Boru kwa kuchochea migawanyiko na kuvuruga huduma za kaunti..