Back to homeWatch Original
Wanaharakati wa Linda Jamii wapinga uagizaji wa mchele
video
August 5, 2025
15h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Wanaharakati chini ya muungano wa Linda Jamii sasa wanataka serikali kusitisha uagizaji wa mchele kutoka nje ya taifa wakisema hatua hiyo itawaathiri wakulima wa humu nchini. Wanaharakati hao wanasema hatua hiyo inawapa kipaumbele mabwenyenye wanaoleta mchele bila kulipa ushuru i..