Back to homeWatch Original
Serikali ya kaunti yaandaa kambi za muda kuhudumia raia
video
August 5, 2025
1d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Wakazi wa kaunti ya Samburu bado wanalazimika kusafiri mwendo mrefu kusaka matibabu,hali ambayo imeshinikiza idara ya afya kaunti hiyo kuanzisha mpango matibabu tamba kwa kuandaa kambi za muda za matibabu ili kuwahudumia wakazi mashinani wasio na uwezo wa kusaka matibabu hospital..