Back to homeWatch Original
KWS na NSSF zaongoza orodha ya idara zenye ufisadi nchini
video
August 5, 2025
2d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Asilimia 43 ya wakenya walitoa hongo kupewa huduma za umma mwaka jana huku sasa shirika la huduma kwa wanyamapori -kws-likiongoza kwa orodha ya idara zilizokula mlungula zaidi ikifuatwa na hazina ya malipo ya NSSF. Kaunti za Uasin Gishu na Baringo ziliongoza kaunti fisadi zaidi n..