Back to homeWatch Original
Nyeri: wauzaji wa mavazi mazito ya kukabiliana na baridi walalamikia kuhusu biashara duni
video
August 5, 2025
1w ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Kwa kawaida, biashara ya wauzaji wa mavazi mazito ya kukabiliana na baridi huwa na ongezeko kubwa wakati wa msimu huu. Hata hivyo, mwaka huu hali ni tofauti, kwani wauzaji wanalalamikia kushuka kwa mauzo ikilinganishwa na miaka ya awali. Subscribe to NTV Kenya channel for lates..