Back to homeWatch Original
Shilingi Bilioni 11 zapotea kwenye Mfumo wa E-Citizen, wabunge wataka ufungaji wa mfumo huo
video
August 5, 2025
2d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
HUENDA SHILINGI BILIONI 11 ZIMEPOTEA KWENYE MFUMO WA SERIKALI WA MALIPO YA E-CITIZEN. RIPOTI YA MKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI INAONYESHA KUWA SERIKALI HAIMILIKI MFUMO HUO KIKAMILIFU. WABUNGE WA KAMATI YA BUNGE KUHUSU UHASIBU SASA WAKITAKA MFUMO HUO KUFUNGWA MARA MOJA, WAKIUTAJA K..