Back to homeWatch Original
Kakamega: Michezo ya shule za upili yavutia idadi kubwa ya mashabiki
video
August 5, 2025
3d ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Maelfu ya mashabiki wa mpira wa soka na michezo mingine ya kitaifa katika shule za upili iliyofanyika Kaunti ya Kakamega na kutamatika siku ya Jumamosi wiki iliyopita ilishuhudia idadi kubwa ya mashabiki ikilinganishwa na wale ambao hujitokeza kutazama mechi za Ligi Kuu nchini. ..