Back to homeWatch Original
Watu wawili waripotiwa kufariki kufuatia ajali ya lori
video
August 6, 2025
1w ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Watu wawili wameripotiwa kuaga dunia mapema asubuhi, eneo la Daraja Mbili mjini Kisii baada ya lori kukata Breki na kuteremka kutoka katikati mwa mji wa Kisii hadi soko la daraja mbili. Watu wengine kadhaa wamejeruhiwa..