Back to homeWatch Original
Gachagua aunga mkono maoni ya Marekani kuhakiki ushirikiano wake na Kenya katika NATO
video
August 6, 2025
1d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Aliyekuwa Naibu rais Rigathi Gachagua ametangaza kuunga mkono hatua ya Marekani kuchambua upya uamuzi wake kuhusu ushirikiano wa Kenya na Marekani katika muungano wa NATO. Akizungumza kwenye kikao cha mahojiano na wanahabari nchini Marekani, Gachagua amesema Marekani inafaa kusi..