Back to home

Miili ya watoto waliotoweka Nyeri yapatikana mto Ragati baada ya miezi miwili

video
August 6, 2025
22h ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Familia mbili katika kijiji cha Kiamwangi, Kaunti ya Nyeri, zinapitia jinamizi la kusikitisha. Watoto wao wawili, mmoja akiwa na umri wa miezi 1.9 na mwingine miaka miwili walitoweka katika mazingira ya kutatanisha, ndani ya miezi miwili. Miili yao baadaye ilipatikana ikiwa haina..