Back to homeWatch Original
WakulimaTharaka Nithi wapanda miti ya moringa
video
August 7, 2025
2w ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Wakulima katika Kaunti ya Tharaka Nithi sasa wameshabikia kilimo cha mti wa Moringa kama suluhu la kurejesha ardhi iliyoharibika na kuongeza mapato yao. Baadhi ya wakulima wanabadilisha ardhi isiyo na tija kuwa biashara yenye mafanikio..