Back to homeWatch Original
Mudavadi apuzilia madai kuhusu uhusiano wa Kenya na Marekani
video
August 7, 2025
5h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Waziri wa Masuala ya kigeni Musalia Mudavadi amepuuzilia mbali madai kuwa uhusiano kati ya Kenya na Marekani unayumba, kufuatia mswada uliowasilishwa katika bunge la Congress na Seneta James Risch wa Marekani. Risch anapendekeza Kenya ipokonywe hadhi yake ya mshirika asiye mwanac..