Back to homeWatch Original
Familia yadai haki baada ya kifo cha mwanamke aliyedaiwa kubakwa hospitalini Pandya memorial Mombasa
video
August 7, 2025
5d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
FAMILIA YA MWANAMKE ANAYADAIWA KUBAKWA AKIPOKEA MATIBABU YA UGOJWA WA FIGO KATIKA HOSPITALI YA PANDYA MEMORIAL MJINI MOMBASA INADAI HAKI. MWANAMKE HUYO AMBAYE ALIFARIKI JUMAMOSI INADAI KUWA BAADA YA KITENDO HICHO MAREHEMU ALITATIZIKA SANA, HALI ILIYOCHANGIA KIFO CHAKE..