Back to home

Wizara ya Utalii na wanyama pori yatia saini mkataba na FKF ili kuinua utalii ndani na nje ya nchi

video
August 7, 2025
1d ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wizara ya Utalii na wanyama pori kupitia kwa KTB imetia saini mkataba wa miezi sita na shirikisho la kandanda humu nchini FKF ili kuinua utalii ndani na nje ya nchi. Mkataba huo ni wa thamani ya shilingi milioni 15. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and..