Back to homeWatch Original
Polisi wanamzuilia mshukiwa wa wizi wa pikipiki Kajiado
video
August 8, 2025
1d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Polisi mjini Kajiado wanamzuiliwa mshukiwa Mmoja ambaye alikamatwa akiwa na pikipiki ya wizi. Mshukiwa huyo alipigwa sana na wakazi na sasa anapokea matibabu hospitalini chini ya ulinzi wa polisi. Wahudumu wa boda boda walifunga barabara kuu ya Namanga, wakitaka asasi za usalama ..