Back to homeWatch Original
Timu ya wasiosikia yashiriki majaribio ya kuwakilisha Kenya Tokyo, Japan
video
August 8, 2025
6h ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Timu ya soka ya kinadada walio na changamoto ya kutosikia kutoka magharibi imesafiri hadi kaunti ya Nairobi ili kushiriki majaribio ya kusaka kikosi cha timu ya taifa kitakachoshiriki mashindano wasiosikia yatakayofanyika jiji Tokyo Japan kati ya Novemba 15 na 26. Subscribe and..