Back to homeWatch Original
Wawakilishi wadi wamtaka gavana Erick Mutai kuwajibika
video
August 8, 2025
6h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Matamshi ya gavana wa kaunti ya Kericho, Dkt. Erick Mutai, ya kutaka kuvunjwa kwa serikali ya kaunti yamepokelewa kwa tahadhari na wawakilishi wadi wa kaunti hiyo, ambao wanaona hatua hiyo kama njia ya kupotosha umma kutoka kwa masuala muhimu ya uwajibikaji..