Back to home

Raila Odinga asema atashirikiana na Rais 2027

video
August 8, 2025
5h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Kinara wa ODM Raila Odinga sasa anasema ana imani kwamba atashirikiana na Rais William Ruto hata baada ya uchaguzi mkuu wa 2027, akidokeza uwezekano wa kuungana na Rais Ruto katika uchaguzi mkuu ujao. Akizungumza katika kaunti ya Homa Bay, Odinga aliwashambulia wanaondeleza kampe..