Back to home

Huduma za SHA zasitishwa hospitali 40 nchini

video
August 8, 2025
6h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Huduma za malipo ya SHA zimesitishwa katika hospitali 40 nchini. Waziri wa afya Aden Duale amechukua hatua hiyo kufuatia madai kuwa hospitali hizo zinahusishwa na utapeli wa malipo ya SHA. Aidha wahudumu wa afya 12 wakiwemo madaktari wanane wameamrishwa kusitishahuduma zao uchung..