Back to homeWatch Original
Jane ni mmoja wa wanne waliokuwa kwenye ndege
video
August 9, 2025
3d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Familia ya Jane Omusula, nesi wa shirika la AMREF flying doctors ambaye alifariki kwenye ajali ya Alhamisi huko Mwihoko inasikitikia kifo cha ghafla cha mwanawao, ambaye wanamtaja kama aliyekuwa kiungo muhimu sana kwa familia hiyo...